Picha: Alikiba na Sauti Sol walivyozungumza na waandishi wa habari

Tuzo za MTV MAMA huwa na shughuli nyingi za awali siku moja kabla ya usiku wenyewe wa utoaji ambao kwa mwaka huu ni Jumamosi hii. Ijumaa Alikiba na maswahiba wake wa Kenya, Sauti Sol wanaowania pamoja tuzo hiyo, walizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ushirikiano wao na mambo mengine. Hizi ni baadhi ya picha hizo.
Member wa kundi la Sauti Sol, Savara (wa pili kulia) akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari
Alikiba akiwa na furaha tele kuzungumza na waandishi wa habari, Ijumaa hii jijini Jozi


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.